Lishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi

dc.contributor.authorKituo cha ushauri nasaha, Lishe na afya
dc.date.accessioned2024-10-08T07:52:12Z
dc.date.available2024-10-08T07:52:12Z
dc.date.issued2006-08
dc.description.abstractLishe bora ni muhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi vya UK1MWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani nishati-lishe, protini, madini na vitamini. Watoto wanaoishi na virusi vya UKIMWI na wenye UKIMWI wako katika hatari kubwa ya kupata utapiamlo kutokana na: 1. Ongezeko la mahitaji ya virutubishi hasa nishati-lishe. 2. Maradhi ya mara kwa mara, 3. Ulaji duni, 4. uyeyushaji na ufyonzwaji duni wa virutubisho mwilini.en_US
dc.identifier.isbn9987-9017-4-3
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/934
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKituo cha ushauri nasaha,Lishe na afyaen_US
dc.relation.ispartofseriesmfululizo wa 11;
dc.subjectLisheen_US
dc.subjectVirusien_US
dc.subjectUkimwien_US
dc.subjectMtotoen_US
dc.titleLishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwien_US
dc.title.alternativeUmri kati ya miaka 2 mpaka 9en_US
dc.typeLearning Objecten_US
dc.typeImageen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Lishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi.pdf
Size:
1.53 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections