Uendelezaji mpana wa kilimo Mafunzo Kutoka Njombe

Loading...
Thumbnail Image

Date

2003-03

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TARP II-SUA Project

Abstract

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ughani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara iliyofanyika mwezi Machi 2003. Ziara hii iliwashirikisha wakulima na washauri wa ughani kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Handeni, Lushoto, Morogoro, Bagamoyo, Kibaha, Korogwe na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya Mjini, Njombe, Sumbawanga, Songea, Rujewa, Namtumbo na Iringa Mjini, ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Njombe, Iringa. Ripoti hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.

Description

Keywords

Kilimo, Tekinolojia

Citation

Collections