Uendelezaji mpana wa kilimo Mafunzo Kutoka Njombe

dc.contributor.authorKinabo, L. D. B
dc.contributor.authorTarimo, A. J. P
dc.contributor.authorBatamuzi, E. K
dc.contributor.authorMakungu, P. J
dc.date.accessioned2020-10-07T06:23:56Z
dc.date.available2020-10-07T06:23:56Z
dc.date.issued2003-03
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ughani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara iliyofanyika mwezi Machi 2003. Ziara hii iliwashirikisha wakulima na washauri wa ughani kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Handeni, Lushoto, Morogoro, Bagamoyo, Kibaha, Korogwe na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya Mjini, Njombe, Sumbawanga, Songea, Rujewa, Namtumbo na Iringa Mjini, ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Njombe, Iringa. Ripoti hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.en_US
dc.identifier.isbn9987-605-9;1-,4
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/517
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II-SUA Projecten_US
dc.relation.ispartofseries;TS2-74
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectTekinolojiaen_US
dc.titleUendelezaji mpana wa kilimo Mafunzo Kutoka Njombeen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
uendelezaji kilimo0001.pdf
Size:
12.23 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections