Jinsi ya kufanya kilimo cha Vitunguu Maji 2021

dc.contributor.authorMtalula, Mohamed M.
dc.date.accessioned2021-05-05T08:38:58Z
dc.date.available2021-05-05T08:38:58Z
dc.date.issued2016-06-11
dc.descriptionKilimo cha vitunguu majien_US
dc.description.abstractKilimo cha vitunguu maji ni muhimu sana hapa Tanzania. Vitunguu vinaweza kutumika kama zao la chakula au la biashara kwa aina zote za wakulima, wakubwa na wadogo. Zao la vitunguu linazalishwa kutokana na mbegu, na miche inakuzwa kwenye kitalu kabla ya kupandikizwa shambani. Miche inakuwa na ‘kuzaa’ vitunguu. Vitunguu vikikomaa, vinavunwa na kuuzwa au kuhifadhiwa ghalani. Wingi na ubora wa mavuno hutegemea; hali ya hewa, aina ya vitunguu, aina ya mbegu bora, usimamizi wa kilimo bora, uangalizi wakati wa kuvuna, usafirishaji na uhifadhi bora. Mavuno ya vitunguu kwa ekari bado ni madogo sana hapa nchini (kiasi cha tani nne kwa ekari) na upotevu wa mazao baada ya kuvuna ni mkubwa (kiasi cha 50% – 80%) kutokana na uhifadhi duni. Hivyo ukiwa kama mkulima unahitaji utaalamu wa kilimo bora cha vitunguu na njia bora za kuhifadhi ili kuongeza uzalishaji na kipato.en_US
dc.description.sponsorshipmogriculture.comen_US
dc.identifier.citationhttps://www.mogriculture.com/2016/06/kilimo-cha-vitunguu-maji/en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/553
dc.language.isootheren_US
dc.publishermogriculture.comen_US
dc.subjectJinsi ya kufanya Kilimo cha Vitunguu Maji 2021en_US
dc.titleJinsi ya kufanya kilimo cha Vitunguu Maji 2021en_US
dc.title.alternativeKilimo cha Vitunguu Maji 2021en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Jinsi ya kufanya Kilimo cha Vitunguu Maji 2021.pdf
Size:
846.22 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Jinsi ya kufanya Kilimo cha Vitunguu Maji 2021
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections