Mwongozo wa Uendelezaji wa Tasnia ya Parachihi
Loading...
Date
2023
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Kilimo - Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Abstract
Tasnia ya parachichi inakabiliana na changamoto mbalimbali zikiwemo kukosekana kwa uratibu wa pamoja, uzalishaji usiozingatia kanuni bora za kilimo, uchache wa vifaa vya uhifadhi na usafirishaji. Hivyo, katika kuboresha usimamizi wa tasnia ya zao la parachichi Wizara kwa kushirikiana na wadau imeandaa ‘Mwongozo wa Usimamizi wa Tasnia ya Parachichi’. Mwongozo huu una sura sita (6) ambazo ni utangulizi, Kanuni bora za uzalishaji wa zao la Parachichi, viwango vya ubora wa zao la parachichi, wajibu wa kila mdau, kalenda ya uvunaji wa zao la parachichi katika maeneo ya uzalishaji na hitimisho.
Description
Keywords
Parachichi, Kilimo