Mwongozo wa Uendelezaji wa Tasnia ya Parachihi

dc.contributor.authorWizara ya Kilimo, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-10-03T06:56:33Z
dc.date.available2023-10-03T06:56:33Z
dc.date.issued2023
dc.description.abstractTasnia ya parachichi inakabiliana na changamoto mbalimbali zikiwemo kukosekana kwa uratibu wa pamoja, uzalishaji usiozingatia kanuni bora za kilimo, uchache wa vifaa vya uhifadhi na usafirishaji. Hivyo, katika kuboresha usimamizi wa tasnia ya zao la parachichi Wizara kwa kushirik￾iana na wadau imeandaa ‘Mwongozo wa Usimamizi wa Tasnia ya Parachichi’. Mwongozo huu una sura sita (6) ambazo ni utangulizi, Kanuni bora za uzalishaji wa zao la Parachichi, viwango vya ubora wa zao la parachichi, wajibu wa kila mdau, kalenda ya uvunaji wa zao la parachichi katika maeneo ya uzalishaji na hitimisho.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/743
dc.publisherWizara ya Kilimo - Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaen_US
dc.subjectParachichien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleMwongozo wa Uendelezaji wa Tasnia ya Parachihien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mwongozo PARACHICHI.pdf
Size:
8.28 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections