Upandaji wa mimea tofauti tofauti: Mwongozo wa nyanjani

dc.contributor.authorRamezanpour, C
dc.contributor.authorKamau, M. N
dc.contributor.authorNguma, B
dc.contributor.authorMuinde, T
dc.contributor.authorChai, E. C
dc.contributor.authorKarisa, T
dc.date.accessioned2018-12-19T08:09:43Z
dc.date.available2018-12-19T08:09:43Z
dc.date.issued2005
dc.description.abstractKenya ina maeneo mengi tofauti tofauti. Jimbo la kati ni baridi, kule mkoa wa Nyanza kuna mvua nyingi, kuna jangwa kaskazini, na hapa pwani ni joto sana. Kila eneo lina sifa maalum – hali ya hewa, hali ya joto, kiasi cha mvua, na udongo. Kwa sababu hiyo kila eneo lina faida tofauti tofauti shambani. Ustawi wa kilimo hapa Kilifi utategemea uwezo wa wakulima. Ni bora watambue faida na nafasi ya ardhi. Kwa mfano: 1. Mimea gani hufanya vizuri hapa? 2. Wakulima wanaweza kukuza mimea gani hapa kupita maeneo mengine? 3. Mimea gani tunaweza kupanda ambayo wale wa sokoni wanataka kununua? 4. Mimea ipi inastahimili kiangazi? 5. Mimea ipi ina uhitaji wa juu katika soko? Tutaona uwezekano mkubwa wa shamba wakati zile taratibu za kulima zinatumia kikamilifu sifa ya ardhi yake. Hili wazo ni msingi ya Upandaji wa Mimea Tofauti Tofauti (Crop Diversification).en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/386
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCoast Development Authority - Kenyaen_US
dc.subjectMazao mchanganyikoen_US
dc.subjectMimeaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleUpandaji wa mimea tofauti tofauti: Mwongozo wa nyanjanien_US
dc.title.alternativeCrop Diversificationen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
3882.pdf
Size:
1.23 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections