Kitabu cha Mwongozo: Upitishaji wa Sheria Ndogo katika Ngazi ya Kijiji

Loading...
Thumbnail Image

Date

2011-08

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Abstract

Mwongozo huu wa upitishaji wa Sheria Ndogo katika ngazi ya Kijiji umetokana na Sheria za Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya Sura 287 toleo la 2002 pamoja na Sera ya Serikali ya kugatua madaraka kwa kukabidhi kazi, haki, wajibu pamoja na rasilimali fedha kwa wananchi kupitia Serikali za Mitaa. Aidha, changamoto mbalimbali zilizoko vijijini kupitia program mbalimbali kama vile Mipango ya Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekondari, Mfuko ya Maendeleo ya Jamii (TASAF), hifadhi ya Mazingira na Kilimo kwanza, zimetoa msukumo mkubwa kuwa na haja ya kuwa na mwongozo kama huu unaowezesha vijiji kuandaa sheria zake ndogo zitakazosaidia kukabiliana na changamoto hizo mfano kuhimiza watu kushiriki na kuchangia kwenye shughuli za maendeleo na kushiriki kwenye ulinzi shirikishi katika maeneo yao.

Description

Keywords

Vijiji, Sheria, Serikali za Mitaa, Uongozi, Tanzania

Citation