Kitabu cha Mwongozo: Upitishaji wa Sheria Ndogo katika Ngazi ya Kijiji

dc.date.accessioned2018-06-13T08:23:48Z
dc.date.available2018-06-13T08:23:48Z
dc.date.issued2011-08
dc.description.abstractMwongozo huu wa upitishaji wa Sheria Ndogo katika ngazi ya Kijiji umetokana na Sheria za Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya Sura 287 toleo la 2002 pamoja na Sera ya Serikali ya kugatua madaraka kwa kukabidhi kazi, haki, wajibu pamoja na rasilimali fedha kwa wananchi kupitia Serikali za Mitaa. Aidha, changamoto mbalimbali zilizoko vijijini kupitia program mbalimbali kama vile Mipango ya Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekondari, Mfuko ya Maendeleo ya Jamii (TASAF), hifadhi ya Mazingira na Kilimo kwanza, zimetoa msukumo mkubwa kuwa na haja ya kuwa na mwongozo kama huu unaowezesha vijiji kuandaa sheria zake ndogo zitakazosaidia kukabiliana na changamoto hizo mfano kuhimiza watu kushiriki na kuchangia kwenye shughuli za maendeleo na kushiriki kwenye ulinzi shirikishi katika maeneo yao.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/170
dc.language.isootheren_US
dc.publisherOfisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaaen_US
dc.subjectVijijien_US
dc.subjectSheriaen_US
dc.subjectSerikali za Mitaaen_US
dc.subjectUongozien_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleKitabu cha Mwongozo: Upitishaji wa Sheria Ndogo katika Ngazi ya Kijijien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
201108_GIZ-SULGO_Village_By-Laws_Manual_SW.pdf
Size:
677.59 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: