Ziara ya Mafunzo ya Wakulima - Vikundi vya Wakulima wa Wilaya ya Kongwa na Dodoma Vijijini

dc.contributor.authorLyimo-Macha, R. E
dc.contributor.authorMalimbwi, R. E
dc.contributor.authorKiranga, E
dc.contributor.authorKawamala, P
dc.date.accessioned2020-10-07T06:24:04Z
dc.date.available2020-10-07T06:24:04Z
dc.date.issued2004-06
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Wataalamu wa ugani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika mwezi Aprili na Mei 2004. Ziara hizi ziliwashirikisha wakulima na wataalamu wa ugani kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Tanga, Pwani, Morogoro na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumuisha wakulima na wataalamu wa ughani kutoka Iringa, Mbeya na Rukwa ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Dodoma vijijini na Kongwa, Mkoa wa Dodoma. Washiriki wengine walikuwa ni watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Taasisi za Utafiti wa Kilimo Mikocheni, Dar es salaam na Uyole, Mbeya na wakufunzi watatu toka INADES-Formation, Dodoma. Chapisho hili pia linapatikana katika lugha ya kiingereza.en_US
dc.identifier.isbn9987 - 9006 - 7 - 4
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/518
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II-SUA Projecten_US
dc.relation.ispartofseries;TS2-105
dc.subjectMafunzoen_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.titleZiara ya Mafunzo ya Wakulima - Vikundi vya Wakulima wa Wilaya ya Kongwa na Dodoma Vijijinien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mafunzo ya wakulima0001.pdf
Size:
14.22 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections