Mwongozo wa kuandaa maandiko ya mradi na utaratibu wa kutoa ruzuku

dc.contributor.authorWizara ya Mali asili na Utalii, T
dc.date.accessioned2022-01-25T11:03:26Z
dc.date.available2022-01-25T11:03:26Z
dc.date.issued2013-03-13
dc.description.abstractMwongozo huu ni tafsiri ya toleo la Kiingereza la Mwaka 2012. Mfuko wa Misitu Tanzania umetayarisha Mwongozo wa kuandaa maandiko ya Miradi na Utaratibu wa Kutoa Ruzuku ikiwa ni jitihada ya kuepuka upendeleo, kuwa na uwazi na ufanisi katika kazi zake. Ni dhahiri kuwa Taasisi zenye sera na utaratibu ulio wazi wa kuitisha maombi ya ruzuku kwa ajili ya kutekelezea miradi na kusimamia ruzuku hiyo zinaheshimika kwa uwazi huo na uadilifu. Aidha, kuwa na utaratibu sanifu kunasaidia kudumisha mawasiliano muhimu kati ya waombaji wa ruzuku na waliopatiwa ruzuku hiyo.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/569
dc.language.isoenen_US
dc.publisherWizara ya Mali asili na Utaliien_US
dc.titleMwongozo wa kuandaa maandiko ya mradi na utaratibu wa kutoa ruzukuen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mwongozo_wa_Kuandaa_Maandiko_ya_Mradi.pdf
Size:
290.13 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections