Unenepeshaji wa kaa

dc.contributor.authorIdara ya ukuzaji viumbe maji
dc.date.accessioned2023-03-01T11:08:45Z
dc.date.available2023-03-01T11:08:45Z
dc.date.issued2022-03
dc.description.abstractKaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). Kaa hawa huishi kwenye mikoko na mara nyingi hujichimbia kwenye tope. Kaa wanakua kwa kujivua gamba kila hatua ya ukuaji. Faida za kunenepesha kaa ni pamoja na kuongeza kuongeza uzito na ubora wa nyama, kipato, kupunguza vifo na kuhifadhi mazingira ya mikoko.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/697
dc.publisherWizara ya Mifugo na Uvuvi,en_US
dc.subjectKaaen_US
dc.subjectVizimbaen_US
dc.subjectKunenepeshaen_US
dc.titleUnenepeshaji wa kaaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KIPEPERUSHI - UFUGAJI WA KAA.pdf
Size:
156.01 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections