Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima wa Tanzania
Loading...
Date
2010
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Heifer International Tanzania
Abstract
Mwongozo huu una mada zinazoelekeza ufugaji ulio bora wa kuku wa Asili ikiwemo jinsi ya kutambua ubora wa kuku wanaostahili kufugwa, mifumo mbalimbali itakayoweza kutumika na mapungufu yaliyomo katika ufugaji na jinsi ya kuyatatua. Vilevile mwongozo huu unaelezea juu ya utagaji na utunzaji wa mayai, uatamiaji na uanguaji wa vifaranga na njia za kulea vifaranga ili kuzuia vifo katika hatua za awali. Pia mwongozo unaelezea lishe kwa kuku wa Asili, mbinu za kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi ili kuweza kupata faida katika ufugaji, magonjwa muhimu ya kuku wa asili
na jinsi ya kuyakinga na uwekaji wa kumbukumbu za ufugaji.
Description
Keywords
Kabila za kuku wa asili, Mifumo ya ufugaji kuku wa asili, kuku wa asili, Tiba za asili