Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima wa Tanzania

dc.contributor.authorHeifer International Tanzania
dc.date.accessioned2018-02-23T10:11:28Z
dc.date.available2018-02-23T10:11:28Z
dc.date.issued2010
dc.description.abstractMwongozo huu una mada zinazoelekeza ufugaji ulio bora wa kuku wa Asili ikiwemo jinsi ya kutambua ubora wa kuku wanaostahili kufugwa, mifumo mbalimbali itakayoweza kutumika na mapungufu yaliyomo katika ufugaji na jinsi ya kuyatatua. Vilevile mwongozo huu unaelezea juu ya utagaji na utunzaji wa mayai, uatamiaji na uanguaji wa vifaranga na njia za kulea vifaranga ili kuzuia vifo katika hatua za awali. Pia mwongozo unaelezea lishe kwa kuku wa Asili, mbinu za kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi ili kuweza kupata faida katika ufugaji, magonjwa muhimu ya kuku wa asili na jinsi ya kuyakinga na uwekaji wa kumbukumbu za ufugaji.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/107
dc.language.isootheren_US
dc.publisherHeifer International Tanzaniaen_US
dc.subjectKabila za kuku wa asilien_US
dc.subjectMifumo ya ufugaji kuku wa asilien_US
dc.subjectkuku wa asilien_US
dc.subjectTiba za asilien_US
dc.titleMwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima wa Tanzaniaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MKL3 KUKU-WA-KIENYEJI.pdf
Size:
2.03 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections