Kilimo biashara, kilimo bora, mboga mboga na matunda
Loading...
Date
2024-04-13
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mogri culture Tanzania
Abstract
Kanuni hizi zinajumuisha Kuandaa shamba mapema, matumizi ya mbegu bora, Kupanda kwa wakati na kwa nafasi, matumizi bora ya maji, matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu, kudhibiti magugu, magonjwa na wadudu wa mazao. Pia matumizi ya zana bora za kilimo na teknolojia rafiki, utunzaji wa mazingira, kufuata kanuni za usalama na afya, na kufuata kanuni za uchumi. Makala hii inalenga kuwaelimisha wakulima juu ya umuhimu wa kanuni hizi na jinsi zinavyoweza kusaidia katika kuongeza uzalishaji wa mazao na kuboresha maisha yao na jamii kwa ujumla. Pia, inasisitiza umuhimu wa kuendelea kubuni na kutekeleza mbinu bora za kilimo ili kukabiliana na changamoto za sasa na za baadaye katika kilimo.
Description
Keywords
Kilimo Biashara,, Kilimo Bora,, Mboga mboga, Matunda
Citation
https://www.mogriculture.com