Kilimo biashara, kilimo bora, mboga mboga na matunda

dc.contributor.authorMohamed, Mtalula
dc.date.accessioned2024-07-24T05:26:37Z
dc.date.available2024-07-24T05:26:37Z
dc.date.issued2024-04-13
dc.description.abstractKanuni hizi zinajumuisha Kuandaa shamba mapema, matumizi ya mbegu bora, Kupanda kwa wakati na kwa nafasi, matumizi bora ya maji, matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu, kudhibiti magugu, magonjwa na wadudu wa mazao. Pia matumizi ya zana bora za kilimo na teknolojia rafiki, utunzaji wa mazingira, kufuata kanuni za usalama na afya, na kufuata kanuni za uchumi. Makala hii inalenga kuwaelimisha wakulima juu ya umuhimu wa kanuni hizi na jinsi zinavyoweza kusaidia katika kuongeza uzalishaji wa mazao na kuboresha maisha yao na jamii kwa ujumla. Pia, inasisitiza umuhimu wa kuendelea kubuni na kutekeleza mbinu bora za kilimo ili kukabiliana na changamoto za sasa na za baadaye katika kilimo.en_US
dc.identifier.citationhttps://www.mogriculture.comen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/888
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMogri culture Tanzaniaen_US
dc.subjectKilimo Biashara,en_US
dc.subjectKilimo Bora,en_US
dc.subjectMboga mbogaen_US
dc.subjectMatundaen_US
dc.titleKilimo biashara, kilimo bora, mboga mboga na matundaen_US
dc.title.alternativeKanuni 12 za kilimo bora chenye tija Tanzaniaen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
kanuni bora za kilimo.pdf
Size:
638.39 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections