Kilimo cha pamba Tanzania

dc.contributor.authorIdara ya uhusiano na elimu a wakulima mamlaka ya pamba Tanzania
dc.date.accessioned2022-04-20T10:33:06Z
dc.date.available2022-04-20T10:33:06Z
dc.date.issued1999
dc.description.abstractPAMBA ni zao ambalo hustawi vizuri sana katika sehemu kubwa ya nchi yetu. Pamba hustawi katika udongo wa aina mbali mbali mradi tu maji yawe yanapenya kwa urahisi na usiwe na chachu (acidic) kwa wingi. Kiasi cha inchi ishirini za mvua hustawisha pamba vema, kama ikinyesha kwa mpango mzuri. Mwinuko wa kuanzia usawa wa bahari hadi futi 4,500 kutoka usawa wa bahari ndiyo hasa hufaa kwa ustawishaji wa pamba.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/626
dc.language.isootheren_US
dc.publisherkiwanda cha uchapaji cha taifaen_US
dc.subjectPambaen_US
dc.subjectKilimo, mkulimaen_US
dc.titleKilimo cha pamba Tanzaniaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
kilimo cha pamba.pdf
Size:
7.93 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article.
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections