Jifunze kustawisha viazi vitamu
Loading...
Date
2007-07-26
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Tanzania educational publishers Ltd
Abstract
Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi duniani na mifugo, na umuhimu wake unazidi kuongezeka siku hizi kutokana na uhaba au uchache wa mvua unaotokea mara kwa mara. Mbali na kuwa chakula cha kawaida, vilevile viazi ni zao la kinga ya njaa. Havihitaji mvua nyingi sana. Hukomaa haraka baada ya miezi minne unaweza kuanza kuvivuna.
Description
Keywords
Viazi vitamu, Aina ya viazi vitamu