Jifunze kustawisha viazi vitamu

dc.contributor.authorNgeze, Pius B.
dc.date.accessioned2022-04-20T11:06:46Z
dc.date.available2022-04-20T11:06:46Z
dc.date.issued2007-07-26
dc.description.abstractViazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi duniani na mifugo, na umuhimu wake unazidi kuongezeka siku hizi kutokana na uhaba au uchache wa mvua unaotokea mara kwa mara. Mbali na kuwa chakula cha kawaida, vilevile viazi ni zao la kinga ya njaa. Havihitaji mvua nyingi sana. Hukomaa haraka baada ya miezi minne unaweza kuanza kuvivuna.en_US
dc.identifier.isbn978 9987 426 34 8
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/636
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTanzania educational publishers Ltden_US
dc.subjectViazi vitamuen_US
dc.subjectAina ya viazi vitamuen_US
dc.titleJifunze kustawisha viazi vitamuen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU.pdf
Size:
23.07 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections