Chanja kuku wako dhidi ya ugonjwa wa kideri (mdondo)
Loading...
Date
2016
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
GALVMed
Abstract
Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ndege uliowafuga ikiwa hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa huo na ukitokea mlipuko wa ugonjwa huo, unaweza kuteketeza kuku wote kijijini mwako na hata vijiji vya jirani. Kwa hivyo, ni muhimu kuchanja kundi lako la ndege/kuku!
Description
Keywords
Kuku, Kideri, Mdondo, Magonjwa, Chanjo