Chanja kuku wako dhidi ya ugonjwa wa kideri (mdondo)

dc.date.accessioned2019-02-13T07:15:04Z
dc.date.available2019-02-13T07:15:04Z
dc.date.issued2016
dc.description.abstractUgonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ndege uliowafuga ikiwa hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa huo na ukitokea mlipuko wa ugonjwa huo, unaweza kuteketeza kuku wote kijijini mwako na hata vijiji vya jirani. Kwa hivyo, ni muhimu kuchanja kundi lako la ndege/kuku!en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/406
dc.language.isootheren_US
dc.publisherGALVMeden_US
dc.subjectKukuen_US
dc.subjectKiderien_US
dc.subjectMdondoen_US
dc.subjectMagonjwaen_US
dc.subjectChanjoen_US
dc.titleChanja kuku wako dhidi ya ugonjwa wa kideri (mdondo)en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Chanja-kuku-wako-dhidi-ya-ugonjwa-wa-Kideri-Mdondo-Brochure.pdf
Size:
462.76 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections