Kilimo bora cha alizeti

dc.contributor.authorMalekani, Andrew
dc.date.accessioned2022-04-12T11:37:44Z
dc.date.available2022-04-12T11:37:44Z
dc.date.issued2021-05-12
dc.description.abstractAlizeti hutambulika kitaalamu Kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Vilevile ni zao ambalo halihitaji mbembejeo za gharama sana ukilinganisha mazao mengine kama mahindi, ngano, n.k. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusinien_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/592
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine University of Agricultureen_US
dc.subjectAlizetien_US
dc.subjectMbeguen_US
dc.subjectKiikolojiaen_US
dc.titleKilimo bora cha alizetien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
alizeti.pdf
Size:
979.88 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections