Mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji: Mbinu ya mapinduzi ya kijani wilayani Mbarali, Mbeya

dc.date.accessioned2018-06-13T08:21:51Z
dc.date.available2018-06-13T08:21:51Z
dc.date.issued2014-10
dc.description.abstractNchini Tanzania, mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu vijijini. Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa mikononi mwa wanavijiji wenyewe kwa kiasi kikubwa katika kugawa ardhi yao kwa matumizi mbalimbali ya kujikimu kimaisha kwa sasa na siku za baadaye na kuwa na uhifadhi endelevu wa mazingira. Maendeleo endelevu katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya yanaathiriwa na migogoro ya matumizi ya rasilimali ardhi na maji kwa muda mrefu sasa. Hii imetokana na uwezo wa ardhi kupungua kutoa mavuno ya kutosha na uhaba wa maji kwa matumizi mbalimbali hususan umwagiliaji, unyweshaji mifugo, uendelevu wa miminiko la maji kwenye bwawa la umeme, uhifadhi ya bionuai na mazingira. Mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini unasaidia kusimamia na utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi, maji na hifadhi ya mazingira.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/164
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEcoAgricultureen_US
dc.subjectKilimo Salamaen_US
dc.subjectKilimo Mazingiraen_US
dc.subjectHifadhi ya mazingiraen_US
dc.subjectArdhien_US
dc.titleMpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji: Mbinu ya mapinduzi ya kijani wilayani Mbarali, Mbeyaen_US
dc.typeOtheren_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
doc_612.pdf
Size:
243.9 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: