Kilimo bora cha zao la mkonge

Loading...
Thumbnail Image

Date

2022

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Abstract

Mkonge ni zao linalostahimili sana ukame, ma- gonjwa, na wadudu waharibifu. Hivyo mkonge unahitaji pembejeo chache kuliko mazao men- gine katika uzalishaji. Mkonge hustawi kuanzia usawa wa bahari Mita 0 - 750 na kwenye mae- neo yenye mvua kiasi cha Milimita 500 - 1200 kwa mwaka.

Description

Kipeperushi

Keywords

mkonge wa asili, mkonge chotara, mkonge

Citation

Collections