UENDELEZAJI WA VIKUNDI VYA WAKULIMA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI - Warsha ya Nane ya Wakulima wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Iliyofanyika Ukumbi wa Allamano wa Vijana wa Kikatoliki Makambako, Njombe 7-9 Juni 2004
Loading...
Date
2004-06
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARP II-SUA Project
Abstract
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara
ya Kilimo na Chakula (MAFS), na Chuo Kikuu cha Kilimo cha
Norway (NLT-I), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa
Chakula la Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo
Tanzania. Mradi huu arnbao ulianza rasrni mwczi Septernba 2000,
unagharamiwa na Serikali ya Norway.
Kati ya shughuli muhimu zilizopangwa ili kutekeleza malengo ya
mradi na kuimarisha uhusiano na wakulima, watafiti na washauri
wa wakulima ni kufanya warsha zenye madhumuni yafuatayo:
I. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na washauri wa
kilimo ili kudadisi kuhusu mambo muhimu
yanayohitaji kushirikishwa pandc zote kwa lengo la
kufanikisha kilimo 11a ufugaji
2. Kucharnbua na kuainisha matatizo yanayowakabili
wakulima wadogowadogo
3. Kupanga ili kutarnbua mambo gani yapewc uzito au
kipaumbele
4. Kushiriki katika kupeana uzocfu wa maenco muhimu
ya kilimo na mifugo.
Chapisho hili linawasilisha rnwenendo wa warsha ya nane ya
wakulima wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuhusu
Uendelezaji wa Vikundi vya Wakulirna- iliyofanyika ukurnbi wa
Allamano wa Vijana wa Kikatoliki, Makambako, Njombe, 7-9,
Juni 2004. Mwenendo wa warsha umcchapishwa na kutolewa
katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Description
Keywords
Ushirika, Vikundi, Wakulima