UENDELEZAJI WA VIKUNDI VYA WAKULIMA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI - Warsha ya Nane ya Wakulima wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Iliyofanyika Ukumbi wa Allamano wa Vijana wa Kikatoliki Makambako, Njombe 7-9 Juni 2004

dc.contributor.authorVallery, F
dc.contributor.authorKiranga, E
dc.contributor.authorMalimbwi, R. E
dc.contributor.authorLyimo-Macha, J. G
dc.date.accessioned2020-10-07T06:19:49Z
dc.date.available2020-10-07T06:19:49Z
dc.date.issued2004-06
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLT-I), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula la Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania. Mradi huu arnbao ulianza rasrni mwczi Septernba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway. Kati ya shughuli muhimu zilizopangwa ili kutekeleza malengo ya mradi na kuimarisha uhusiano na wakulima, watafiti na washauri wa wakulima ni kufanya warsha zenye madhumuni yafuatayo: I. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na washauri wa kilimo ili kudadisi kuhusu mambo muhimu yanayohitaji kushirikishwa pandc zote kwa lengo la kufanikisha kilimo 11a ufugaji 2. Kucharnbua na kuainisha matatizo yanayowakabili wakulima wadogowadogo 3. Kupanga ili kutarnbua mambo gani yapewc uzito au kipaumbele 4. Kushiriki katika kupeana uzocfu wa maenco muhimu ya kilimo na mifugo. Chapisho hili linawasilisha rnwenendo wa warsha ya nane ya wakulima wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuhusu Uendelezaji wa Vikundi vya Wakulirna- iliyofanyika ukurnbi wa Allamano wa Vijana wa Kikatoliki, Makambako, Njombe, 7-9, Juni 2004. Mwenendo wa warsha umcchapishwa na kutolewa katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza.en_US
dc.identifier.isbn9987- 422 - 04 - 7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/506
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II-SUA Projecten_US
dc.relation.ispartofseries;TS2-114
dc.subjectUshirikaen_US
dc.subjectVikundien_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.titleUENDELEZAJI WA VIKUNDI VYA WAKULIMA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI - Warsha ya Nane ya Wakulima wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Iliyofanyika Ukumbi wa Allamano wa Vijana wa Kikatoliki Makambako, Njombe 7-9 Juni 2004en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
vikundi vya wakulima0001.pdf
Size:
14.19 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections