BRICS: Mkakati mbadala wa ushirikiano wa kimaendeleo?

dc.contributor.authorMutalemwa, Darlene K
dc.contributor.authorMutalemwa, Deo P
dc.date.accessioned2018-06-27T07:56:52Z
dc.date.available2018-06-27T07:56:52Z
dc.date.issued2014
dc.description.abstractMandhari ya hali halisi ya ushirikiano wa kimaendeleo inabadilika huku kukiwa na ongezeko la washirika wapya ambao ni Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, unaojulikana kwa pamoja kama BRICS . Washirika hawa wapya ambao wanawakilisha fursa mpya, rasilimali mpya na makubaliano mapya ya mikataba; huku mkazo mkubwa zaidi ukilenga katika mwelekeo thabiti wa ukuaji wa kiuchumi, kupunguza umaskini na kupata maendeleo ndivyo vinavyoleta changamoto kwa mashirika ya kimaendeleo na wajasiriamali wa nchi za magharibi. Utafiti huu unatokana na kusoma vitabu pamoja na nyaraka mbalimbali za kitaalam, unachangia katika uchambuzi wa maslahi ya sasa ya BRICS kwa Tanzania kwa upande mmoja, (na maslahi ya Tanzania-kwa nchi hizi-kwa upande mwingine), kwa kutoa mtazamo wa kuongeza maarifa na ufahamu wa nafasi ya BRICS na, faida na athari zake kwa Tanzania.en_US
dc.identifier.isbn978-9987-708-11-6
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/209
dc.language.isootheren_US
dc.publisherPolicy Forumen_US
dc.subjectUchumien_US
dc.subjectUshirikianoen_US
dc.subjectMaendeleoen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleBRICS: Mkakati mbadala wa ushirikiano wa kimaendeleo?en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Bricks-mkakatimbadalawaushikianowakimaendeleoTZ.pdf
Size:
1.88 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: