Uthibiti wa nzi waharibifu wa matunda: Mwongozo kwa wakulima na maafisa ugani

dc.contributor.authorMwatawala, M. W
dc.contributor.authorMeyer, M. De
dc.contributor.authorSeguni, Z
dc.contributor.authorRwegasira, G. M
dc.contributor.authorMuganyizi, J
dc.contributor.authorSenkondo, F
dc.contributor.authorSechambo, L
dc.contributor.authorShempemba, D
dc.contributor.authorKweka, E
dc.date.accessioned2018-07-03T08:48:23Z
dc.date.available2018-07-03T08:48:23Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractKilimo cha mboga na matunda ni mojawapo ya tasnia za kilimo inayokua kwa kasi hapa nchini kulinganisha na ilivyokuwa hapo awali. Kwa mfano, takwimu za uzalishaji wa matunda katika msimu wa 2008/2009 ni tani 1, 205,340.5 ikiwa ni ongezeko la asilimia 39.3 kutoka tani 865,540 za msimu wa 2002/ 2003. Halikadhalika, uzalishaji wa mboga nao umeongezeka japo hakuna takwimu sahihi za ongezeko hilo. Uzalishaji wa mboga na matunda licha ya kuongezeka unakabiliwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa mitaji, uwezo mdogo wa kununua pembejeo, utaratibu mgumu wa kumiliki ardhi ambao hautoi nafasi kwa uwekezaji wa kudumu, uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu, magonjwa na wadudu waharibifu, hasa nzi waharibifu wa matunda.en_US
dc.description.sponsorshipShirika la Maendeleo la Ubelgiji - DGOSen_US
dc.identifier.isbn99787-640-38-9
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/239
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKurugenzi ya Utafiti na Uzamili, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUAen_US
dc.subjectNzien_US
dc.subjectMatundaen_US
dc.titleUthibiti wa nzi waharibifu wa matunda: Mwongozo kwa wakulima na maafisa uganien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Nzi.pdf
Size:
18.09 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections