Kilimo bora cha nyanya

dc.contributor.authorIshengoma, R. C
dc.contributor.authorMvena, Z. S. K
dc.contributor.authorTiisekwa, B
dc.contributor.authorLaswai, H. S
dc.contributor.authorReuben, S. O. W. M
dc.contributor.authorNchimbi - Msolla, S
dc.contributor.authorMaerere, A. P
dc.contributor.authorNjau, P. J. R
dc.date.accessioned2017-08-01T13:25:02Z
dc.date.available2017-08-01T13:25:02Z
dc.date.issued2005-08
dc.description.abstractUtafiti huu unahusika na kuboresha uzalishaji, usindikaji na upatikanaji wa masoko ya nyanya Tanzania, ikichukulia wilaya mbili kama kielelezo. Wilaya hizo ni Kisarawe tarafa ya Maneromango na Msanga na Morogoro vijijini, tarafa ya Mikese. Utafiti huu shirikishi unafanyika kati ya wakulima, watalaamu kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Morogoro na wagani wa Kilimo kutoka wilaya zilizotajwa. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika kueneza mbinu mbalimbali zinazohusika na uzalishaji wa nyanya shambani. Mbinu hizi ni pamoja na kuchagua aina nzuri ya nyanya, matayarisho ya kitalu, utunzaji wa nyanya shambani na hatimaye uvunaji. Ni matumaini yetu kuwa kijarida hiki kitakuwa cha manufaa siyo tu kwa wakulima wadodgo wadogo wa nyanya bali pia kwa wadau wote wa nyanya.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/9
dc.publisherSUA-NORAD FOCAL PROGRAMMEen_US
dc.subjectNyanyaen_US
dc.subjectMasokoen_US
dc.subjectUzalishaji mazaoen_US
dc.subjectWakulima wadogoen_US
dc.titleKilimo bora cha nyanyaen_US
dc.title.alternativeUzalishaji, usindikaji na upatikanaji masoko ya nyanya unaotilia mkazo kupunguza umasikini kwa wakulima wadogo wadogoen_US
dc.typePresentationen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KILIMO BORA CHA NYANYA.pdf
Size:
12.72 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections