Cottoran - Kiua gugu cha kuua magugu ya majani mapana kwenye pamba
Loading...
Date
2014
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Adama-Agan Ltd
Abstract
COTTORAN ni kiua gugu cha kuua magugu aina ya majani mapana kwenye
pamba. Cottoran inatumika kwenye maandalizi ya shamba kuzuia magugu
kabla ya kupanda , na hata baada ya kupanda ila kabla mbegu hazijaanza
kuota kwenye udongo wenye unyevu na mkavu pia. Cottoran inazuia
magugu yafuatayo; cruciferous weeds, Chenopodium spp., Chrozophora
spp., Solanum nigrum, Portulaca olereaceae, Molucella laevis, Ecballium
elaterium, Tribulus terrestris, Xanthium spp., magugu aina ya nyasi na
mengineyo.
Description
Keywords
Pamba, Madawa