Cottoran - Kiua gugu cha kuua magugu ya majani mapana kwenye pamba
dc.date.accessioned | 2018-10-12T11:08:20Z | |
dc.date.available | 2018-10-12T11:08:20Z | |
dc.date.issued | 2014 | |
dc.description.abstract | COTTORAN ni kiua gugu cha kuua magugu aina ya majani mapana kwenye pamba. Cottoran inatumika kwenye maandalizi ya shamba kuzuia magugu kabla ya kupanda , na hata baada ya kupanda ila kabla mbegu hazijaanza kuota kwenye udongo wenye unyevu na mkavu pia. Cottoran inazuia magugu yafuatayo; cruciferous weeds, Chenopodium spp., Chrozophora spp., Solanum nigrum, Portulaca olereaceae, Molucella laevis, Ecballium elaterium, Tribulus terrestris, Xanthium spp., magugu aina ya nyasi na mengineyo. | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/350 | |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Adama-Agan Ltd | en_US |
dc.subject | Pamba | en_US |
dc.subject | Madawa | en_US |
dc.title | Cottoran - Kiua gugu cha kuua magugu ya majani mapana kwenye pamba | en_US |
dc.type | Working Paper | en_US |