Killimo cha viazi vitamu

dc.contributor.authorchuo kikuu cha kilimo cha sokoine
dc.date.accessioned2023-08-25T08:48:27Z
dc.date.available2023-08-25T08:48:27Z
dc.date.issued2023-03-14
dc.description.abstractViazi vitamu ni zao mojawapo muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia rahisi ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu yanatumika kama mboga na kuupatia mwili vitamini na madini. Pia viazi vitamu ni chanzo cha kipato. Hata hivyo, wastani wa uzalishaji shambani ni mdogo kiasi cha 5.6t/ha ukilinganisha na uzalishaji unaoweza kufikiwa wa 20–40t/ha. Soko la viazi vitamu sio maalum, kuna wauzaji wadogo na wakubwa. Aina za Viazi Vitamu Asilimia kubwa ya viazi vitamu vinavyolimwa nchini ni vyeupe, maziwa au zambarau, pia za kuna viazi vya rangi ya karoti ambavyo vina virutubisho vyenye vitamin A kwa wingi. Aina viazi zilizoboreshwa ni Simama, Ukerewe, Sinia, Jitihada, Vumilia, Mvuno, Mataya, Polyster na NASPOT-1. Aina hizi zina uwezo wa kutoa kati ya tani 10 mpaka 30 kwa hektari hukomaa kati ya miezi minne hadi mitano na zina unga mwingi.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/705
dc.language.isootheren_US
dc.publisherchuo kikuu cha kilimo cha sokoineen_US
dc.subjectkilimoen_US
dc.subjectviazi vitamuen_US
dc.subjectmsetoen_US
dc.titleKillimo cha viazi vitamuen_US
dc.title.alternativeKilimo msetoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KILIMO CHA VIAZI VITAMU.pdf
Size:
663.63 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections