Jinsi ya kuhifadhi mboga za kiasili za kutumia wakati wa kiangazi
Loading...
Date
2008
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kenya Agricultural Research Institute - KARI
Abstract
Mboga za kiasili ni muhimu kwa chakula na zina virutubishi zaidi ya zile za kigeni kama vile sukuma wiki na kabeji. Mifano yake ni kama vile sageti, mnavu, mchicha na mkunde. Mimea hii huwa na madini na vitamini A zinazohitajika kwa afya ya binadamu.
Description
Keywords
Mboga mboga, Mboga za asili, Uhifadhi, Bustani, Kilimo