Njia bora za kukinga mimea yako dhidi ya jua kali na mvua kubwa
Loading...
Date
2022-07-20
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Jua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja kwa
siku moja ili kuepukana na ugonjwa wa kata kiuno. Ila kama udongo unahifadhi maji najua likawa kali kiasi ambacho saa sita mchana maji yashakauka na mmea unaanzakusinyaa au kuweka rangi ya njano kutokana na jua kali hapo inabidi ukabiliane na changamoto hii kwa kufanya yafuatayo:-a. Kuweka matandazo ya majani (Organicmulch)
Description
Keywords
Njia bora, Kukinga mimea, Mvua kubwa, Jua kali
Citation
https://greenagriculturetz.com.