Njia bora za kukinga mimea yako dhidi ya jua kali na mvua kubwa

dc.contributor.authorLasway, Octavian J
dc.date.accessioned2023-10-03T04:56:34Z
dc.date.available2023-10-03T04:56:34Z
dc.date.issued2022-07-20
dc.description.abstractJua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja kwa siku moja ili kuepukana na ugonjwa wa kata kiuno. Ila kama udongo unahifadhi maji najua likawa kali kiasi ambacho saa sita mchana maji yashakauka na mmea unaanzakusinyaa au kuweka rangi ya njano kutokana na jua kali hapo inabidi ukabiliane na changamoto hii kwa kufanya yafuatayo:-a. Kuweka matandazo ya majani (Organicmulch)en_US
dc.identifier.citationhttps://greenagriculturetz.com.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/739
dc.language.isootheren_US
dc.subjectNjia boraen_US
dc.subjectKukinga mimeaen_US
dc.subjectMvua kubwaen_US
dc.subjectJua kalien_US
dc.titleNjia bora za kukinga mimea yako dhidi ya jua kali na mvua kubwaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
NJIA BORA ZA KUKINGA MIMEA YAKO DHIDI YA JUA KALI NA MVUA KUBWA.pdf
Size:
233.8 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections