Kanuni na teknolojia bora za uzalishaji na usimamizi wa zao la bamia baada ya kuvuna
Loading...
Date
2019-11
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)
Abstract
Bamia ni zao linalolimwa katika maeneo mengi nchini kutokana na umuhimu wake kilishe na kuongeza kipato. Asili ya zao hili ni Afrika ya Magharibi lakini kwa sasa limeeenea katika nchi nyingi za ukanda wa kitropiki. Bamia ni zao lenye mchango katika afya ya mwanadamu na ni chanzo muhimu cha vitamini na madini ya potasiam na chokaa ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa, meno na husaidia ufanyaji kazi mzuri wa misuli. Wakulima walio wengi hususan wakulima wadogo, hutegemea zao hili kama chanzo cha kipato kutokana na kutumiwa na watanzania walio wengi.
Description
Jarida
Keywords
Bamia, Mboga mboga, Mazao ya bustani