Kanuni na teknolojia bora za uzalishaji na usimamizi wa zao la bamia baada ya kuvuna

dc.contributor.authorWizara ya Kilimo Tanzania
dc.date.accessioned2026-09-01T10:41:58Z
dc.date.available2026-09-01T10:41:58Z
dc.date.issued2019-11
dc.descriptionJarida
dc.description.abstractBamia ni zao linalolimwa katika maeneo mengi nchini kutokana na umuhimu wake kilishe na kuongeza kipato. Asili ya zao hili ni Afrika ya Magharibi lakini kwa sasa limeeenea katika nchi nyingi za ukanda wa kitropiki. Bamia ni zao lenye mchango katika afya ya mwanadamu na ni chanzo muhimu cha vitamini na madini ya potasiam na chokaa ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa, meno na husaidia ufanyaji kazi mzuri wa misuli. Wakulima walio wengi hususan wakulima wadogo, hutegemea zao hili kama chanzo cha kipato kutokana na kutumiwa na watanzania walio wengi.
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1023
dc.language.isoother
dc.publisherShirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)
dc.subjectBamia
dc.subjectMboga mboga
dc.subjectMazao ya bustani
dc.titleKanuni na teknolojia bora za uzalishaji na usimamizi wa zao la bamia baada ya kuvuna
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KANUNI NA TEKNOLOJIA BORA ZA UZALISHAJI%0ANA USIMAMIZI WA ZAO LA BAMIA%0ABAADA YA KUVUNA.pdf
Size:
1.03 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections