Kilimo bora cha Alizeti

Loading...
Thumbnail Image

Date

2016-10

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kilimo Tanzania Blog

Abstract

Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UZALISHAJI Kuchagua aina bora ya mbegu • Chagua aina bora ya mbegu inayovumilia magonjwa, wadudu, inayotoa mazao mengi na kiwango kikubwa cha mafuta. • Vilevile chagua aina ya mbegu ambayo hukomaa kwa wakati mmoja ili kurahisisha uvunaji.

Description

Keywords

Alizeti, Mbegu za mafuta

Citation

Collections