Kilimo bora cha Alizeti

dc.contributor.authorMussa, D
dc.date.accessioned2018-09-27T07:07:46Z
dc.date.available2018-09-27T07:07:46Z
dc.date.issued2016-10
dc.description.abstractAlizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UZALISHAJI Kuchagua aina bora ya mbegu • Chagua aina bora ya mbegu inayovumilia magonjwa, wadudu, inayotoa mazao mengi na kiwango kikubwa cha mafuta. • Vilevile chagua aina ya mbegu ambayo hukomaa kwa wakati mmoja ili kurahisisha uvunaji.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/294
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKilimo Tanzania Blogen_US
dc.subjectAlizetien_US
dc.subjectMbegu za mafutaen_US
dc.titleKilimo bora cha Alizetien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Alizeti 2.pdf
Size:
204.92 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections