Jinsi ya kulea vifaranga vya kuku - Sehemu ya kwanza (1)

Loading...
Thumbnail Image

Date

2018-07

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kilimo Tanzania Blog

Abstract

Napenda kuwaletea somo la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo usiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga ni lazima uzingatie yafuatayo.  Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi.  Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa.  Nyumba ya vifaranga isiruhusu unyevu, baridi na wanyama au wadudu kuingia ndani, lakini ni lazima iwe na mwanga wakutosha  Pia nyumba ya vifaranga inatakiwa kua na uwazi wa kutosha kuwezesha vifaranga kutobanana na waweze kutembea kwa uhuru.  pia ijengwe eneo ambalo haliruhusu upepo kutoka kwenye nyumba ya kuku wakubwa kuingia hii itapunguza maambukizi ya magonjwa.

Description

Keywords

Ufugaji, Kuku, Vifaranga, Ndege

Citation

Collections