Jinsi ya kulea vifaranga vya kuku - Sehemu ya kwanza (1)

dc.contributor.authorMussa, D
dc.date.accessioned2018-09-27T07:09:15Z
dc.date.available2018-09-27T07:09:15Z
dc.date.issued2018-07
dc.description.abstractNapenda kuwaletea somo la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo usiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga ni lazima uzingatie yafuatayo.  Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi.  Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa.  Nyumba ya vifaranga isiruhusu unyevu, baridi na wanyama au wadudu kuingia ndani, lakini ni lazima iwe na mwanga wakutosha  Pia nyumba ya vifaranga inatakiwa kua na uwazi wa kutosha kuwezesha vifaranga kutobanana na waweze kutembea kwa uhuru.  pia ijengwe eneo ambalo haliruhusu upepo kutoka kwenye nyumba ya kuku wakubwa kuingia hii itapunguza maambukizi ya magonjwa.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/301
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKilimo Tanzania Blogen_US
dc.subjectUfugajien_US
dc.subjectKukuen_US
dc.subjectVifarangaen_US
dc.subjectNdegeen_US
dc.titleJinsi ya kulea vifaranga vya kuku - Sehemu ya kwanza (1)en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
vifaranga.pdf
Size:
169.18 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections