Maziwa ya mama
Loading...
Date
1992-10-17
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Shirika la Chakula na Lishe Tanzania
Abstract
Kijitabu hiki cha maswali na majibu ni kimojatu kati ya vijitabu
kumi vinavyotolewa aa Shirika la Chakula na Lishe Tanzania
kutokana na barua za wasikilizaji wa vipindi vya redio vya
"Chakula na Lishe".
Vijitabu hivi ni:
1. Ujauzito
2. Maziwa ya Mama
3. Ulikizaji
4. Ukuaji wa mtoto
5. Kuharisha
6. Surua
7. Anemia
8. Upungufu wa Vitamini A·
9. Upungufu wa Madini ya joto
10. Muhogo
Kila kijitabu kina maswali 10 tu na kijitabu kitakachofuaria
katika fani moja kitaendeleza idadi ya maswali.
Vijitabu hivi vinafaa sana kusomwa na wanafunziwa shule za
msingi na sekondari na watu wote vijijini na mijini wanaopenda
kuelewa zaidikuhusu Lishe bora.
Mara kwa mara Shirika la Chakula na Lishe litatoa zoezi katika
redio au gazeti la kiswahili kwa ajili ya watu wa vikundi mbali
mbali na atakayepata alama nyingi atazawadiwa.
Description
Keywords
Mama mjamzito, Watoto wachanga, Mtoto anayenyonya, Faida ya kunyonyesha