Maziwa ya mama

dc.contributor.authorKisanga, P.
dc.contributor.authorMella, O.
dc.contributor.authorMasako, R.
dc.contributor.authorNavetta, D.
dc.date.accessioned2022-06-27T07:11:33Z
dc.date.available2022-06-27T07:11:33Z
dc.date.issued1992-10-17
dc.description.abstractKijitabu hiki cha maswali na majibu ni kimojatu kati ya vijitabu kumi vinavyotolewa aa Shirika la Chakula na Lishe Tanzania kutokana na barua za wasikilizaji wa vipindi vya redio vya "Chakula na Lishe". Vijitabu hivi ni: 1. Ujauzito 2. Maziwa ya Mama 3. Ulikizaji 4. Ukuaji wa mtoto 5. Kuharisha 6. Surua 7. Anemia 8. Upungufu wa Vitamini A· 9. Upungufu wa Madini ya joto 10. Muhogo Kila kijitabu kina maswali 10 tu na kijitabu kitakachofuaria katika fani moja kitaendeleza idadi ya maswali. Vijitabu hivi vinafaa sana kusomwa na wanafunziwa shule za msingi na sekondari na watu wote vijijini na mijini wanaopenda kuelewa zaidikuhusu Lishe bora. Mara kwa mara Shirika la Chakula na Lishe litatoa zoezi katika redio au gazeti la kiswahili kwa ajili ya watu wa vikundi mbali mbali na atakayepata alama nyingi atazawadiwa.en_US
dc.identifier.isbn9976 910 24 X
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/656
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la Chakula na Lishe Tanzaniaen_US
dc.subjectMama mjamzitoen_US
dc.subjectWatoto wachangaen_US
dc.subjectMtoto anayenyonyaen_US
dc.subjectFaida ya kunyonyeshaen_US
dc.titleMaziwa ya mamaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
scanMAZIWA0001.pdf
Size:
8.16 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections