Vikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, Mbeya
Loading...
Date
2002
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARP II Project - SUA
Abstract
Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika
mwishoni mwa mwezi Oktoba na Novemba 2001. Ziara ya
kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha
wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Kilosa,
Kilombero,
Rufiji na Morogoro Vijijini, ambao
waliwatembelea wakulima wa mpunga wa Mkindo, Turiani
wilaya ya Morogoro. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima
na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya vijijini,
Iringa Vijijini, Njombe, Ludewa na Chunya ambao
walitembelea vikundi vya wakulima wa wilaya ya Mbozi.
Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.
Description
Keywords
Teknolojia, Zana, Mafunzo, Kilimo, Mbarali