Vikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, Mbeya

dc.contributor.authorLyimo-Macha, J. G
dc.contributor.authorBatamuzi, E. K
dc.date.accessioned2018-09-20T07:49:07Z
dc.date.available2018-09-20T07:49:07Z
dc.date.issued2002
dc.description.abstractMakala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba na Novemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Kilosa, Kilombero, Rufiji na Morogoro Vijijini, ambao waliwatembelea wakulima wa mpunga wa Mkindo, Turiani wilaya ya Morogoro. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya vijijini, Iringa Vijijini, Njombe, Ludewa na Chunya ambao walitembelea vikundi vya wakulima wa wilaya ya Mbozi. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.en_US
dc.identifier.isbn9987 605 55 9
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/273
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II Project - SUAen_US
dc.relation.ispartofseriesTS;2 - 33
dc.subjectTeknolojiaen_US
dc.subjectZanaen_US
dc.subjectMafunzoen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMbaralien_US
dc.titleVikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, Mbeyaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Vikundiwakulima.pdf
Size:
8.51 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections