Ufugaji wa kambale kitaalamu I

dc.contributor.authorMussa, D
dc.date.accessioned2018-09-27T07:07:58Z
dc.date.available2018-09-27T07:07:58Z
dc.date.issued2018-05
dc.description.abstractFAIDA ZA KUFUGA KAMBARE • Kambare ni aina ya samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko perege na aina nyingine za samaki. • Nyama ya kambare imethibitishwa kuwa na kirutubisho kijulikanacho kama Omega-3, ambacho humpunguzia mlaji uwezekano wa kupata athari za magonjwa mbalimbali kama vile saratani, shinikizo la damu, na magonjwa ya akili. − Kambare wanapofugwa pamoja na perege (kambare mmoja kwa kila perege wanne mpaka watano), hudhibiti mazaliano ya perege, hivyo kuwawezesha kukua hadi kufikia uzito mkubwa (mpaka kilo 5).en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/295
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKilimo Tanzania Blogen_US
dc.subjectKambaleen_US
dc.subjectSamakien_US
dc.titleUfugaji wa kambale kitaalamu Ien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
kambale sehemu ya 1.pdf
Size:
169.57 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections