Jinsi ya kulima mgagani: kilimo bora cha mgagani

Loading...
Thumbnail Image

Date

1998

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Melkisedeki

Abstract

Migagani, migange, mikabili au miangani ni mimea ya jenasi Cleome katika familia na oda Brassicales (kabichi). Mgagani (Cleome gynandra) au Spider plant kwa kingereza, ni mmea wa asili ya Afrika unaostawi vizuri kwa kumwagiliwa hapa afrika ya mashariki wakati wa joto. Pia huchumwa mashambani ikiwa imeota yenyewe zao hili hushambiliwa na magonjwa na wadudu mara chache. Majani na Matawi machanga yana virutubisho kuliko Sukuma wiki na kabichi. Mahitaji yake yanaongezeka kwenye miji midogo na mikubwa kila siku. Mgagani wa kawaida, huliwa takriban kila mahali pa Afrika na katika mabara mengine pia. Wanawake wengi wenye mimba au waliozaa hula mmea huu, kwa sababu una chuma nyingi kiasi na husaidia kuongeza damu. Mboga ya mgagani huitwa magagani.

Description

Jinsi Ya Kulima Mgagani: Kilimo Bora Cha Mgagani

Keywords

Mgagani, Mboga mboga

Citation

https://ackyshine.com/kilimo-na-ufugaji/jinsi-ya-kulima-mgagani-kilimo-bora- cha- mgagani

Collections