Jinsi ya kulima mgagani: kilimo bora cha mgagani

dc.contributor.authorMelkisedeki, Melkisedeki
dc.date.accessioned2025-08-18T08:56:08Z
dc.date.available2025-08-18T08:56:08Z
dc.date.issued1998
dc.descriptionJinsi Ya Kulima Mgagani: Kilimo Bora Cha Mgaganien_US
dc.description.abstractMigagani, migange, mikabili au miangani ni mimea ya jenasi Cleome katika familia na oda Brassicales (kabichi). Mgagani (Cleome gynandra) au Spider plant kwa kingereza, ni mmea wa asili ya Afrika unaostawi vizuri kwa kumwagiliwa hapa afrika ya mashariki wakati wa joto. Pia huchumwa mashambani ikiwa imeota yenyewe zao hili hushambiliwa na magonjwa na wadudu mara chache. Majani na Matawi machanga yana virutubisho kuliko Sukuma wiki na kabichi. Mahitaji yake yanaongezeka kwenye miji midogo na mikubwa kila siku. Mgagani wa kawaida, huliwa takriban kila mahali pa Afrika na katika mabara mengine pia. Wanawake wengi wenye mimba au waliozaa hula mmea huu, kwa sababu una chuma nyingi kiasi na husaidia kuongeza damu. Mboga ya mgagani huitwa magagani.en_US
dc.description.sponsorshipAckySHINE -Melkizedekien_US
dc.identifier.citationhttps://ackyshine.com/kilimo-na-ufugaji/jinsi-ya-kulima-mgagani-kilimo-bora- cha- mgaganien_US
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/947
dc.publisherMelkisedekien_US
dc.subjectMgagani
dc.subjectMboga mboga
dc.titleJinsi ya kulima mgagani: kilimo bora cha mgagani
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mgagani.pdf
Size:
35.11 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Jinsi Ya Kulima Mgagani: Kilimo Bora Cha Mgagani
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections