Chakula cha GMO

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-02-23T09:05:09Z
dc.date.available2024-02-23T09:05:09Z
dc.date.issued2022-10-04
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractPengine umesikia kuhusu uhandisi jeni wa vyakula (GMO) na unaweza ukawa unajiuliza inahusu nini, hapa tunakueleza. Kenya wiki hii imeidhinisha kilimo na uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba, (GMO) na hivyo kumaliza marufuku ya muongo mmoja iliyokuwa imewekwa kutokana na hofu ya kiafya. Inakuja wakati nchi inakabiliwa na ukame mbaya. Ukame mbaya zaidi katika miaka 40 umeacha mamilioni ya watu wakikabiliwa na njaa. Serikali ya Rais William Ruto imegeukia mimea iliyobadilishwa vinasaba kama njia ya kusaidia kuongeza mavuno. Inasema nchi inahitaji mbegu zinazostahimili ukame, wadudu na magonjwa. Muongo mmoja uliopita uzalishaji na uagizaji wa mazao ya GM ulipigwa marufuku kwa sababu ya wasiwasi juu ya hatari zinazowezekana za kiafya. Kwa wazi ulikuwa uamuzi usiopendwa na Amerika, ambayo ni nyumbani kwa wazalishaji wakuu wa mbegu zilizotengenezwa kwa vinasaba.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/819
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.subjectG.M.Oen_US
dc.subjectVinasabaen_US
dc.titleChakula cha GMOen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
GMO.pdf
Size:
2.73 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections