Jarida la Mifugo na Uvuvi
Loading...
Date
2025-02
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Abstract
UVUVI NI UTAJIRI! ndivyo ambavyo unaweza kusema kupitia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inahakikisha inaleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya Uvuvi kwa kuweka jicho la kipekee kwenye Uchumi wa Buluu. Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inatekeleza mradi wa ukopeshaji wa boti za kisasa kwa wavuvi wa Ukanda wa Pwani, Ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa, ambapo mradi huo unalenga kuwezesha wananchi kufanya uvuvi na ukuzaji viumbe maji endelevu na wenye tija na kuwajengea mazingira wezeshi ili waweze kuongeza uzalishaji wa mazao ya uvuvi.
Description
Jarida
Keywords
MIFUGO, UVUVI, BOTI, CHANJO, SAMAKI